Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Harmorapa: Alikiba ananikubali sana, aliniambia mimi ni msanii ila wabongo hawataki kukubali tu

“ @officialalikiba huwa ananambia @harmorapatz1 wewe ni msanii ila Wabongo hawataki kuamini, nimemuomba collabo mara nyingi sana na ipo siku atanikubalia, mimi naamini mambo mazuri yanakuja”

“Mimi nina familia na inanitegemea mara nyingine nafanya kitu ili nisaidie familia yangu, kiukweli sifanyi kiki bali zinanifuata, watu wengi wanaamini nafanya kiki, kuna siku naweza nikafa watu hawatanipa msaada wataamini nafanya kiki” maneno ya @harmorapatz1 akiongea na @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button