Makala
Hatari ya Makachu ni hii,vifo na ulemavu,malipo kiduchu(Video)
Utamu Uchungu wa Mchezo wa Makachu Zanzibar, vifo, ulemavu wakudumu, wadai wanalipwa 20,000 wagawane watu 5, serikali yatoa kauli
Mchezo wa makachu umeendelea kuwa maarufu zaidi duniani. Mastaa na watu mashuhuri wamekuwa wakivutiwa zaidi na mchezo huo maarufu Zanzibar.
Taarifa za vifo, ulemavu wa kudumu pamoja kuwaingia kipato cha chini umeendelea kuogofya zaidi.
Wapo wachache ambao wamenufaika na mchezo huo, licha wengi wao wakidai kulipwa Tsh 20,000 kwa mruko mmoja pesa ambayo wanagawana watu zaidi ya 5.
Wizara ya Mambo ya Kale imezungunzia suala hilo na kutoa mpango wake kwaajili ya kuwajua vijana hao.
Je wewe una maoni gani?