Hatimaye Kylie Jenner aweka hadharani picha ya mwanae

Baaada ya kujifungua siku chache zilizopita mrembo kutoka familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka hadharani sura ya mtoto wake wa kike.

Mtoto huyo ni wa kwanza kwa Jenner na mpenzi wake rapper Travis Scott ila bado hadi sasa hawajampatia jina.

Kylie Jenner ni mtoto wa mwisho katika familia ya Kardashian na alipata umaarufu kupitia Tv Show  ‘Keeping Up with the Kardashians’, pamoja na dada zake Kendall Jenner, Kourtney, Kim, na Khloé Kardashian.

Related Articles

Back to top button