Habari

Hatma ya Boniface wa Chadema Kujulikana leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali yaliyowasilishwa wiki iliyopita juu ya kiapo cha ziada kupinga dhamana ya mgombea uenyekiti Kanda ya Pwani, Boniface Jacob

 

Licha uamuzi huo Mahakama imesogeza mbele uamuzi juu ya dhamana mpaka tarehe 07 Oktoba 2024.

Jacob Maarufu kama BoniYai, Mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es salaam, Mfanyabiashara na mwanasiasa anakabiliwa na kesi ya uchapishaji taarifa za uongo kwenye mitandao ambayo upelelezi wake bado haujakamilika.

Video Nzima ipo katika Akaunti yetuyoutube ya Bongo5

Written and edited by @abbrah255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents