Hii ndio orodha ya mataifa ya Afrika yaliyofanikiwa kushinda mara nyingi kombe la Mataifa Afrika alimaarufu kama AFCON.
1. Egypt – Imeshinda makombe 7
2. Cameroon – Imeshinda makombe 5
3. Ghana – Imeshinda makombe 4
4. Nigeria – Imeshinda makombe 3
5. Algeria , Cote d’Ivoire , DR Congo – Wameshinda mara mbili kila mmoja
8. Congo , Ethiopia , Morocco , Senegal , South Africa , Sudan , Tunisia and Zambia – Wameshinnda mara moja kila nchi.