Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Hennesseyy: Msanii akitaka kuondoka kwenye label aondoke, mikata iwe miaka 2 – 3 sio 10

Rapa wa muziki wa Bongo Fleva anayetamba na album yake ya THE BEGINNIG Hennessyy ameeleza namna mikataba ya wasanii inavyowaumiza wasanii hao kwenye lable zao.

Akiongea kupitia East Africa Radio ameeleza kuwa katika label msanii akitaka kuondoka aachwe aondoke ila kwa mtu aliyewekeza ahakikishe anapa faida ya kile alichowekeza.

Msanii huyo ambaye aliwahi kuishi nchini Marekani amewatolewa mfani baadhi ya wasanii ambao walikuwa kwenye label tofauti tofauti nchini Marekani kama akina nick Minaj na Drake waliokuwa chini ya Lil Wayne na kueleza kuwa mikataba mingi huwa miaka miwili mpaka mitatu mkataba wa miaka 10 ni kumfunga msanii husika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents