Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Hennessyy: Album kali mpaka sasa ni mbili, album ya Alikiba na album ya Darassa

Album kali Tanzania kwa sasa ni ya @officialalikiba na album ya @darassacmg255 – Hennesseyy

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @hennesseyyhennesseyy ametangaza kuachia album yake ya THE BEGINNING siku ya tarehe 5/8/2022

Msanii huyo ameeleza kuwa album hiyo ina ngoma 18 na amechanganya lugha mbili Kiswahili na Kiingereza.

Mbali na hivyo @hennesseyyhennesseyy ametoa mtazamo wake na kueleza kuwa mpaka sasa kwenye Industry ya Bongo Fleva album kali ni mbili tu ambayo ni album ya @darassacmg255 “Slave become a King “

Na album ya pili ni album ya @officialalikiba THE ONLY ONE KING na kuongeza kuwa huenda album ya tatu ikiwa ni album yake mpya ya THE BEGINNING ambayo ataiachia mnamo tarehe 5 siku ya Ijumaa hii.

Related Articles

Back to top button