Burudani
Huu ndio mwonekano mpya wa Diamond Platnumz baada ya kusuka
Huu ndio mwonekano mpya wa Diamond Platnumz baada ya kusuka

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul a.k.a Diamond Plutnumz ambaye pia ndio C.E.O wa WCB Wasafi ameibuka na mwonekano mpya wa nywele baada ya kusuka.
Hii imekuwa ni mara ya tatu ya msanii huyo kuonekana na mwonekano mpya kichwanii baada ya mwonekano wa kwanza ulikuwa kwenye nyimbo yake na Rayvan ya Salome.
Katika nyimbo Rockonolo aliyoshirikishwa na Lumina alionekana pia na mwonekano mwingine wa nywele akiwa amesuka,lakini huu ni mwanekano mwingine kichwani wa Diamond Platnumz huenda kuna kitu kipya kinakuja.
Lakini msanii huyo amepost picha zake akionekana amesuka huku akiandika “EMBU JIBEBE”
By Ally Juma
Hadi Habari hii nayo mniwekea link?!
Mshamba huyo ☝️☝️☝️☝️
Mmmmh diamod umezidisha sana makiki yako
a ana lolote uyo nishoga te ni mwanamuke tu uyo aolewe