Huu ndio wimbo wa msanii wa Rwanda unaodaiwa kufanana na Ushamba ya Harmonize (+Video)

Wimbo wa msanii Muchoma unaojulikana kwa jina la Umutoso unadaiwa kufanana na ngoma ya Harmonize USHAMBA.

Ngoma hizi zote mbili ya Harmonize na ya Muchoma zilitoka wiki moja iliyopita.

 

Hebu zisikilize halafu unaweza kutoa maoni yako pia.

 

Related Articles

Back to top button
Close