Huyu ndio msanii chipukizi wa muziki wa Rhumba Tanzania, hii ndio ngoma yake (+Video)

Msanii chipukizi wa muziki wa Rhumba Tanzania anayejulikana kwa jina la Carlos ameachia video ya ngoma yake aliyoipa jina hilo hilo la rumba,

Carlos anaamini kuwa siku za hivi karibuni atakuwa msanii mkubwa sana wa muziki wa Rhumba kwani anaona wasanii wengi wameususa muziki huo.

Akiongea na Bongo5 ameongeza kuwa kupitia sapoti ya Watanzania na kuamini kile alichonacho ataitangaza nchi kimataifa na kuupeleka muziki huu mbali zaidi.

 

Related Articles

Back to top button
Close