Mwanajeshi wa zamani wa jeshi la Marekani Esperance Fuerzina ametangazwa kuwa mwanamke mwenye Tattoo nyingi zaidi na kuingizwa kwenye kitabu cha rekodi za dunia za Guinness.
Imemchukua miaka 10 kuchora zaidi ya 99.98% ya mwili wake michoro mbalimbali na bado hajatosheka anataka kuendelea zaidi.
Tattoo zake huanzia kichwani hadi kwenye nyayo za miguu bila kusahau kope, mboni za macho, fizi na hata Ulimi