Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Ibraah aachia album yake ‘The King of New School’

The waiting is Over, usiku wa saa sita Chinga kutoka @kondegang @ibraah_tz rasmi aliiachia album yake mpya ya THE KING OF NEW SCHOOL.

Album hiyo yenye nhoma 17 utawakuta wakali kama @bellachristian1 @wale #Bracket AV, L.A.X na wengine.

Hii ni album ya kwanza kwa @ibraah_tz tangu aanze muziki wake na pia ni msanii wa pili kutoka @kondegang kutoa album baada ya @harmonize_tz ambaye tayari ana album mbili ndani ya miaka mitatu, ambazo ni AFROEAST na HIGH SCHOOL.

Kwenye album hii ya @ibraah_tz huenda wengi walitarajia kumuona @harmonize_tz lakini hayupo kwenye album ya Chinga.

Album hii ipo kwenye platform zote za muziki na kama unapata tabu kuipata ingia kwenye bio yake link amekuwekea pale.

Related Articles

Back to top button