
Baada ya miezi 6 bila ngoma rasmi sasa staa wa muziki kutoka lebo ya Konde Gang @ibraah_tz ametangaza kuachia wimbo.
Kupitia Instagram yake @ibraah_tz ameweka wazi kuwa ataachia wimbo huo Ijumaa hii ya Tarehe 15/9/2023.
Siku kadhaa nyuma @ibraah_tz alionekana aliwa location aki-shuti video.