Burudani

Ibraah wa Konde Gang aeleza sababu za kurudi kutoka Marekani na kumuacha Harmonize kule (+ Video)

Akiongea na wana habari baada ya kufika Uwanja wa Ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere msanii huyo kutoka Konde Gang ameeleza sababu za kurudi Tanzania.

Ibraah ameweka wazi kuwa Marekani hakupelekwa na Harmonize bali Promota alikuja kumchukua kwa ajili ya kwenda kufanya show zake mbili na baada ya kumaliza aliamua kurudi kwa ajili ya kuendelea na mambo mengine.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents