Michezo

Ibrahim Masoud: Manara amefanya makubwa Simba, ilitakiwa mmoja aondoke (+ Video)

Mtangazaji huyo na mchambuzi wa soka kutoka Efm @maestro_ibrahim ameongeza kuwa @hajismanara alifanya kosa huenda hakujua madhara yake shida inakuja CEO @bvrbvra alitumia busara akakaa kimya bila kumjibu.

@hajismanara ameifanyia @simbasctanzania mambo makubwa sana lakini kwa hili alilofanya ilitakiwa mmoja aondoke, je kwa muliozisikia sauti ungemuadhibu nani kama wewe ungekuwa msuluhishaji @hajismanara au @bvrbvra ambaye hakuongea chochote.

Kwa haya maamuzi nafikiri @simbasctanzania wameonyesha ukomavu kwenye uongozi, simshauri @hajismanara arudi @simbasctanzania kinachotakiwa afanye ammbo yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents