Habari
Idadi ya waliofariki dunia Ajali ya Ghorofa Kariakoo yaongezeka na kufikia 29
Idadi ya waliofariki dunia katika tukio la ghorofa lililoporomoka Kariakoo yaongezeka na kufikia 29.
Idadi hiyo imetolewa na Msemaji wa Serikali Bw.Thobias Makoba wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya uokoaji katika eneo hilo ambapo amesema kuanzia saa nane leo Novemba 26, Kariakoo itarejea katika hali ya kawaida isipokuwa eneo la tukio tu.
Written by @abbrah255