FahamuHabariLifestyle

Ifahamu miji mikuu yenye gharama ndogo kuishi duniani, Damascus ya mwisho

Ukiona kuna miji ghali zaidi kuishi duniani basi ujue kuna miji ambayo gharama yake ya kuishi duniani ni ndogo sana, kulimgana najarida la EIU’s World Cost of Living index, limetoa orodha ya miji yenye gharama ndogo zaidi ya kuishi duniani.

Kulingana na jarida hilo limetaja miji hii 10 kama miji yenye gharama ndogo zaidi kuishi.

Miji hiyo yenye gharama ndogo zaidi kuishi duniani ni.

161 = Colombo

161 = Bangalore

161 = Algiers

164 = Chennai

165 = Ahmedabad

166 = Almaty

167 = Karachi

168 = Tashkent

169 = Tunis

170 = Tehran

171 = Tripoli

172 = Damascus

Source: EIU’s World Cost of Living index

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents