HabariTechnology

Ifahamu Simu bomba ya kisasa kwa Content Creators 

‘Infinix Zero 30 5G’ ni simu kali ambayo inaweza kurekodi video ya 4K kwa 60fps kutumia lens mpya ya 50MP kwa camera ya mbele.

Pia simu hii ina kamera kali, unaweza kuitumia kurekodi video zenye uwezo mkubwa mfano video za YouTube, TV na mitandaoni. Inatumia sensor ya ISOCELL HM6 ambayo ina ukubwa wa 1/1.67’’ ambayo ina elements 6 za f/1.65 lens, OIS, na PDAF. Pia ina lens ya ultrawide ya 13MP na sensor ya 2MP.

Inaweza kurekodi video ya 4K kwa frame 60 kwa sekunde; ambapo ni video nzuri smooth kama iPhone 15; iPhone 14 haziwezi kurekodi 4K kwa frame 60 kwa sekunde.

Kioo chake ni AMOLED Full HD+, resolution yake ni 2400 X 1080 pixels; na screen yake ina refresh rate ya 144Hz ambayo ni faster na smooth kuliko iPhone 15. Pia size yake ni inch 6.78”.

Ina battery ya Li-Po 5000 mAh na inatumia fast charger ya 68W ambayo inaweza kufikisha 80% kwa dakika 30 tu.

Mzigo upo mjini kwa Tsh. 1,060,000 tu wapigie @infinixmobiletz kwa nambari 0656317737.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents