Iggy Azalea atangaza kuwa aliongeza ukubwa wa maziwa yake

Rapper Iggy Azalea ameweka wazi kuwa hivi karibuni aliamua kuongeza ukubwa wa maziwa yake (breast implants).

Iggy Azalea: 'Getting the word racist put on me sucked.'

“Miezi minne iliyopita, nilipata matiti makubwa,” rapper huyo ameliambia jarida la fashion bible. “Nilikuwa nimewaza hivyo katika maisha yangu yote.”

Anasema alifanya uamuzi huo kwasababu alikuwa haridhishwi na size ya mwanzo ya maziwa yake na kwamba hakuweka wazi uamuzi huo kwakuwa hakupenda mashabiki wake kutojisikia vibaya kuhusu miili yao.

Related Articles

Back to top button