Michezo
Ijue timu yenye Rekodi kubwa ya Unbeaten Tanzania

49 —YANGA ndio timu yenye rekodi bora ya kucheza mechi nyingi zaidi mfululizo bila ya kupoteza. Ilicheza mechi 49 mfululizo za Ligi Kuu bila ya Kupoteza (mechi 7 za msimu wa 2020-21, mechi 30 za msimu wa 2021-22 na mechi 12 msimu wa 2022-23). Iliivunja rekodi ya muda wote iliyokuwa ikishikiliwa na Azam FC (mechi 38).