Habari

ILO watunukiwa tuzo masuala ya usalama na afya

Mwakilishi wa shilika la kazi duniani nchini (ILO), Getrude Sima akionyesha tuzo waliyotunukiwa na OSHA kwenye maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahala pa kazi duniani yaliyofanyika mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki. ILO ilitunukiwa tuzo hiyo kwa kuwa taasisi iliyomstari wa mbele katika kubadilishana taarifa za masuala ya usalama na afya nchini, kikanda na kimataifa.
Mwakilishi wa shilika la kazi duniani nchini (ILO), Getrude Sima akihutubia kwa maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahala pa kazi duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki, ambapo mwakililishi huyo amebainisha sheria ambazo nchi wanachama wa shirika la kazi duniani inabidi kuzitekeleza ili kuweka mazingira salama kwa wafanyakazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents