Technology
Infinix kuja na punguzo la bei na zawadi za papo hapo kwa wateja wa Infinix NOTE 10
Kampuni ya simu za mkononi Infinix kupitia ukurasa wake wa Instagram @infinixmobiletz
yatangaza ofa kabambe kwa wateja kumi wa kwanza kununua Infinix NOTE 10 siku ya Jumamosi
(17/7/2021) kupata punguzo la sh. 40,000 na zawadi ya blenda, jagi la kuchemshia maji,
wireless earphone au music system papo hapo katika duka la Infinix Smart Hub China plaza
Kariakoo.