Infinix kusherehekea msimu wa wapendanao na wateja wake

Mwaka 2021 unazidi kuwa mwaka mzuri kwa wateja na wadau wote wa simu za Infinix. Hii inajidhihirisha kwa kufuatilia mwenendo wa kampuni ya simu Infinix Mobility kwani mnamo tarehe 6/2/2021 ilizindua promosheni yenye kuashiria upendo baina ya Infinix na wateja wake.

Kwa mujibu wa msemaji wa kampuni ya Infinix Aisha Karupa, alisema katika msimu huu wa valentine Infinix imekuletea promosheni ya #InfinixHotValentine ambayo inamuwezesha mteja atakaye nunua simu ya Hot 10 play kupata nafasi ya kwenda dinner kwenye hoteli yakifahari na mtu ampendaye”.

Infinix HOT 10 play ni simu mpya katika toleo la HOT na kama inavyofahamika toleo la HOT kutoka Infinix ni  toleo lenye sifa nyingi ambapo sifa yake kubwa ni uwezo wa simu hiyo kudumu na chaji kwa muda mrefu. Infinix HOT 10 play ni simu yenye battery ya ujazo wa mAh 6000, Memory iliyojengewa kwa ndani yenye ukubwa wa GB2/32 GB4/64 na camera yenye 8MP za selfie na 13MP nyuma.

Infinix HOT 10 play sasa inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania, tembelea sasa katika maduka yao ya simu katika msimu huu wa Valentine ujipatie zawadi papo hapo kama vile vikombe vya Infinix, package ya zawadi za valentine na mlo wa usiku katika hotel ya kifahari kwa mteja atakae nunua HOT 10 play mbili kwa pamoja.

Tembeleahttps://www.infinixmobility.com/tz/ .

Kwa Mawasiliano;

0744606444

Related Articles

Back to top button
Close