Technology

Infinix NOTE 12, HOT 12 moja inaweza kukupa Smart TV, Laptop na zawadi nyingine

HII NI KALI KULIKO ZOTE

Je unafahamu kuwa Infinix NOTE 12 au HOT 12 1 tu inaweza kukupa Smart TV, Laptop (Compyuta), King’amuzicha DSTV na zawadi nyengine nyingi.

Kampuni ya simu Infinix hapo jana ilizindua rasmi promosheni kubwa ya mwaka ambayo imekuwa ikifanyika kila mwaka mara moja yenye kufahamika kama “KALIKULIKO2022”.

Promosheni ya Infinix Kalikuliko itadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja imeanza tarehe 6 ya mwezi huu na hitimisho ni tarehe 6 ya Mwezi wa 9.

Kwa mujibu wa Meneja mauzo Jackline Steven amedai kuwa “Katika kipindi hikichote cha Mwezi mmoja wateja wote wa simu za Infinix hawataondoka dukani mikoni mitupi ni nunua tukuzawadie papo hapo na tukuingize katika droo kubwa ya kila Wiki ujishindie TV, Laptop, King’amuzi cha DSTV na zawadi nyengine nyingi ikiwamo punguzo la bei utakalohitaji wewe mteja wetu”,

Aliongeza, “simu ambazo zitakuwa katika promosheni hii nipamoja na matoleo mapya ya NOTE 12 series yani NOTE 12 na NOTE 12 VIP ni simu zenye teknolojia ya hali ya juu kuzidi simu ya kampuni nyengine yoyote ya simu yenye kuuzwa kwa sh.800,000 simu hizi zinabaki kuwa kinara zaidi sokoni kutokana na sifa hizi; bei rafiki, kujaa chaji hadi asilimia 100 kwa dakika 17 tu ilihali battery yake ina uwezo wa kudumu na chaji kwa siku moja na zaidi, kamera ya Magepixel 108 yenye uwezo wa kuzoom vitu kwa ukaribu nakurecord video za quality ya hali ya juu pasipo kusahau Processor ya Mediatek Helio G96 isiyoshindwa kuchezeshagame ya aina yoyote na yenye kuchakata kazi za kiofisi kamatu computer”.

Simu nyengine ambazo zitakuwa katika promosheni ya “KALIKULIKO2022” ni Infinix HOT 12, HOT 12i, HOT 12 play, Infinix Smart 6 na Smart 6+ nunua uzawadie papo hapo lakini pia haitoshi nunua kwa punguzo la kujipangia. Nunua Infinix msimu huu ujionee ukarimu wa kampuni hii kwa wateja wake pasipo kusahau katika mtandao wa kijamii @infinixmobiltz kila wiki NOTE 12 VIP moja itaenda kwamshiriki bora wa online challenge.

Related Articles

Back to top button