Technology

Infinix Paa na Manoti yazidi kupamba moto

Promosheni ya Infinix PAA NA MANOTI Yazidi kupamba moto ambapo kwa simu yoyote utakayonunua hautaondoka mikono mitupu zawadi zinaendelea kutolewa ikiwem punguzo kubwa la bei kwa simu za NOTE 40 na NOTE 40 pro, usafiri wa ndege kwenda na kurudi kwa safari za ndani na nje ya nchi bure, pesa taslimu Shillingi 2,000,000, Laptop pamoja na zawadi nyengine nyingi ambazo wateja wanaendelea kujipatia katika promosheni hii.
Promosheni hii inajumuisha matoleo yote ya simu za Infinix ‘NOTE 40 series, NOTE 30 Series, HOT 40 series, ZERO 30 na Smart 8 Series. Usikubali kupitwa na Ofa hizi tembelea duka lolote la simu katika Mkoa uliopo kwa taarifa za haraka zaidi gusa hapa @infinixmobiletz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents