Infinix yaja na promosheni ya Kali kuliko, ukipiga danadana unaondoka na zawadi (+Video)

Kampuni ya simu ya Infinix imezindua rasmi promosheni mpya ijulikanayo kama #KaliKuliko Challenge ambapo ili ushinde zawadi unapiga ‘Danadana’ na kujirekodi kisha unaposti na kuwatagi page zao za Infinix.

Jinsi ya Kushiriki challenge ya #KaliKuliko

1. Follow page ya @infinixmobiletz
2. Post video yako ukiwa unacheza Danadana mahali popote ulipo
3. Tumia hashtag #KaliKuliko
4. Tag @infinixmobileTz na washikaji zako

Washindi watatajwa kila week na mwisho wa challenge hii atapatikana Mshindi mmoja ambaye atashinda Simu aina ya NOTE 10 kutoka Infinix mobile. Post za week zitakazo shinda ni Video zenye engagement kubwa yaani Views, likes pamoja na Comments.

Washindi wa week watajishindia Infinix Gift Hamper na mshindi mmoja wa mwezi atajishindia INFINIX NOTE 10 mpyaa.

Related Articles

Back to top button