Bongo Movie
Irene Uwoya asherehekea birthday yake na watoto yatima pamoja na kuwaombea dua marehemu (Video)

Msanii wa filamu, Irene Uwoya amefunguka kuzungumza muda mchache baada ya kusherehekea birthday yake kwa kufanya dua ya kuwaombea waliotangulia mbele ya haki.