Burudani

Isha Mashauzi asheherekea birthday yake kwa kumtambulisha mpenzi wake (Video)

Msanii wa muziki wa Taarab Isha Mashauzi amesheherekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii kwa style ya kuwaita ndugu jamaa na marafiki na kula nao chakula cha usiku.

Tukio lilo lilikuwa na mambo mengi, ambapo moja wapo ni tukio la muimbaji huyo kumtambulisha mpenzi wake.

Akizungumza na waandishi muimbaji huyo alieleza furaha yake katika siku yake hiyo ya kuzaliwa huku akidai jinsi siku hiyo ilivyoyaumuhimu ametumia zaidi ya tsh milioni 8.

Kuangalia matukio yote tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents