Israel yatakiwa kuacha kuuza teknolojia ya udukuzi

Shirika la waandishi habari wasio na mipaka, RSF limeitaka Israel kuacha kuuza teknolojia ya udukuzi, wakati ambapo kuna madai ilitumika kuwalenga wakuu kadhaa wa nchi na mamia ya waandishi habari.

Related Articles

Back to top button