BurudaniHabari

Issa Azam: Diamond hata tuwe Machawa 1000 hela yake haishi (+Video)

”Mimi ndiyo kijana ambaye huwa nawashauri watu, nimemshauri H Baba, nikamshauri Mwijaku kwamba njooni huku Diamond hata tuwe Chawa 1000 hela yake haishi.”- Maneno ya Issa Azam

Issa Azam ”Ukiona mtu anaumizwa halafu anakula buyu huyo mtu muogope sana atakuua. Mimi timu Kajala sio leo kuanzia miaka hiyo Mungu amjaalie Kajala kila mipango anayopanga iende sawa sawa na wala mtu asimshtukie.”

Related Articles

Back to top button