BurudaniMuziki

Jaivah aki-vibe na Mastaa wa Nigeria

Staa wa Bongo Fleva @jaivah anaendelea kutengeneza zake Connection upande wa Afrika Magharibi hasa Nigeria kwenye upande wa kimuziki.

Hapa kwenye baadhi ya Clubs anaonekana aki-vibe na baadhi ya mastaa kutoka Nigeria akiwepo msanii aliyemshirikisha kwenye ngoma ya KAUTAKA REMIX @poco_lee

Neno moja kwa STREKA @jaivah

Credit by @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents