
Staa wa Bongo Fleva @jaivah anaendelea kutengeneza zake Connection upande wa Afrika Magharibi hasa Nigeria kwenye upande wa kimuziki.
Hapa kwenye baadhi ya Clubs anaonekana aki-vibe na baadhi ya mastaa kutoka Nigeria akiwepo msanii aliyemshirikisha kwenye ngoma ya KAUTAKA REMIX @poco_lee
Neno moja kwa STREKA @jaivah