Jasinta Makwabe: Mwaka huu lazima nifanye video na Chris Brown, Wizkid na Burna boy nikifanya nao naacha kazi (+ Video)

Mrembo/mwanamitindo na video vixen Jasnta Makwabe ameeleza kuwa ndoto zake kubwa ni kufanya video na Chris Brown na mwaka huu lazima atahakikisha kafanya anye pia lazima ahakikishe anafanya video na Wizkid na Burna boy kwa nje ya Tanzania.

Kwa upande wa Tanzania anatamani sana kufanya kazi na diamond na Alikiba kwani na Harmonize tayari kwani ndio wasanii waliopo kwenye level yake.

Mbali na hilo ameeleza kuwa kwa sasa anaamini brand yake imepanda kwani tayari amesainiwa na Miriam Odemba na msanii akitaka kufanya naye kazi lazima atoe mil tano za Kitanzania ndio atakubali.

Related Articles

Back to top button