Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz
Jason Derulo ameua sana kwenye Komasava (Video)

Kwenye video ya Komasava @diamondplatnumz amewa-suprise wengi baada ya staa wa Marekani @jasonderulo kutokea mwenye ngoma.
Hii ndio verse ya @jasonderulo 🔥🔥