Mahojiano
Jay Melody: Sijawahi kutafuta msanii ili nimwandikie nyimbo, wananitafuta labda niwe natafuta connection (+ Video)
Mara nyingi sitafutagi wasanii ili niwaandikie nyimbo huwa wananitafuta, labda kama namtafuta msanii basi na mimi niwe natafuta connection kutoka kwake ila kusema mimi namtafuta msanii nimwandikie nyimbo sio kweli.