Bongo5 MakalaFahamuHabari

Jay Z akiwa na miaka 26 alionekana rapa mzee, miaka 49 bilionea kijana

Leo katika Tujuavyo tupo na Shawn Corey CarterĀ  alimaarufu kama Jay Z, ana majina mengi sana ya utani kama Jigga, Grey Hova, Hovito,Jefe, Boby Fisher, Young Slung na mengine.

Katika kitu ambacho kinabadilika kutokana na hela ni muonekano wako asikudanganye mtu, tunamtolea mfano Jay Z wakati yupo na miaka 26 aliitwa na kuonekana kama Rapper Mzee lakini Akiwa Na Miaka 49 Alikuwa Bilionea Mweusi Kijana Zaidi”

Akiwa na miaka 26 Mwaka 1996 anapoachia album yake ya Kwanza reasonable doubt Jay z alionekana Rapper mzee.

Ilikawa hivi rapper ingizo jipya akiwa na miaka 26 ilionekana kama jamaa kapotea njia au alifanya muziki kwa sababu kuna sehemu amashindwa kumbe hawakujua anatengenezwa mtu wa aina gani.

Walijiuliza alikuwa wapi?

Akiwa na miaka 49 tena hali inabadilika anakuwa bilionea mweusi kijana zaidi kwa wasanii.

Kumbe hatujachelewa kuanza na kufikia ndoto zetu

Usikate tamaa pambana
Kesho iwe imara kuliko jana
Kama UNAONA MUDA UMEKUACHA LAKINI KAMWE USIIKATIE TAMAA NDOTO YAKO IPAMBANIE HADI IWE YAKO

#Bongofive hamasa Imeandaliwa na @tujuavyo na @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents