Burudani
Jay Z hawezi kuonekana sasa ana majanga mengi – 50 Cent

Rapa 50 Cent anaendelea kumkandia Jay Z ambaye ni rafiki wa karibu wa P Diddy ambaye kwa sasa anaekabiliwa na mashtaka ya kingono kuhusu unyanyasaji wa kijinsia.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema Jay Z hatotoka nje mpaka matatizo ya P Diddy yatulie kwa kuhofia yanayomsibu msanii huyo.
Imeandikwa na Mbanga B.