Michezo
Je Ali Kamwe yamemkuta??

Taarifa za awali Afisa Habari wa klabu ya Yanga,Ali Kamwe na Afisa Habari wa Kagera Sugar Hamis Mazanzala wote wamefungiwa 2 na kamati ya maadili ya TFF.
Huku Afisa habari wa Simba Ahmed Ally hajakutwa na hatia.