Burudani

Je Mbosso amebadili Dini?

Usiku wa jana mwanamuziki #Mbosso alikuwa mmoja wa wageni waalikwa kwenye studio za Azam kwenye uchambuzi wa mechi ya Fainali Kombe la Dunia Vilabu kati ya Chelsea Vs PSG.
.
Katika muonekano wake usiku wa jana #Mbosso alikuwa amevaa Rozari shingoni mwake jambo ambalo limezua maswali kwa mashabiki kuwa Mbosso amevaa Rozari kama Fashion au amebadili Dini?
.
Je ni sawa kwa Muislam kuvaa Rozari?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents