Burudani
Jeuri ya Chiefgod love afuata nyayo za Davido

Mfanyabiashara @chief_godlove ameamuwa kufuata nyayo za Mwanamuziki kutoka Nigeria @davido baada ya kununua gari la kifahari aina ya Mercedes Benz Maybach S- Class ambalo linathamani ya kuanzia $194550 sawa na Tsh Milion 530.
Gari hilo la kifahari pia Staa kutoka Nigeria Davido hivi karibuni aliongeza kwenye sehemu ya magari yake ya kifahari anayoyamiliki.