HabariMichezo

Jezi iliyobuniwa kwa muonekano wa ‘BIA’ yazua gumzo

Klabu ya Newcraighall Leith Victoria kutoka Scottish Amateur Football Association (SAFA) imezua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza jezi yake mpya iliyo dizainiwa kwa muonekano wa ‘BIA’.

Uzi huo uliyodhaminiwa na kampuni ya ‘Tennent’s Lager’ umekuwa habari ya mjini huko Edinburgh makao makuu ya timu hiyo kutokana na muonekanao wake.

Baadhi ya mashabiki wanaamini muonekano wa jezi hiyo unawahamasisha zaidi kuingia mifukoni na kufanya matumizi ya bia, wakati wengine wakionekana kuvutiwa na muonekano wake.

Shabiki mmoja alitweet: ”Hii ni mbaya kabisa. Ninawezaje kununua hii’, huku mwingine akisema, ‘Sijui kwa najikuta nataka kuinunua, na hisi naihitaji hii.”
Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents