Michezo
Jezi ya Chama apewa Debora

Hii leo katika mazoezi ya kikosi cha Simba nyota Deborah Fernandez ameonekana kuvalia jezi yenye namba 17 aliyokuwa akiitumia Clatous Chama akiwa SImba.
Je Unadhani Debora ataweza kuitendea haki namba 17 ya Chama Simba??