Jezi ya Ramos Madrid yapata mvaaji

Klabu ya Real Madrid imemtambulisha rasmi beki kisiki waliomsajili kutoka Bayern Munich David Alaba na amekabidhiwa jezi namba 4 ambayo alikuwa anaivaa Sergio Ramos aliyejiunga na PSG #Bongo5Updates

Related Articles

Back to top button