Habari

Jimbo la Hubei ambalo lilikuwa na wagonjwa wengi wa Corona China limewaruhusu wananchi kutoka “Lockdown”

Ubalozi wa Tanzania nchini China, umetoa tangazo kwamba jimbo la Hubei ambao ulikuwa na ugonjwa wengi wa Corona umewaruhusu wananchi kuingia mtaani na kuanza shughuli zao baada ya kushinda vita dhidi ya ugonjwa huyo ambao unaitikisa dunia.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents