Jimmy Mafufu alikusanya tsh milioni 400 kupitia mauzo ya tamthilia ya Panguso (Video)

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amefunguka kuzungumzia tamthilia yake ya Pangusa jinsi ilivyomuingizia tsh milioni 400 kupitia kuonyeshwa katika runinga za nchini Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Mtayarishaji huyo wa filamu ambaye siku ya leo ameingia dili jipya na SwahiliFlix, amedai kwa sasa tasnia ya filamu inalipa zaidi hata kuliko kipindi cha marehemu Kanumba.

Written and edited by @yasiningitu @abra255

Related Articles

Back to top button