Jimmy Mafufu alivyomtimua Nay wa Mitego kwa Shamsa Ford (Video)

Msanii wa filamu na mtayarishaji @jimmymafufu amefunguka jinsi alivyolivunja penzi la mtoto wake @shamsaford na rapa @naytrueboytz
Jimmy amedai rapa huyo hakuwa mwanaume sahihi wa mtoto wake hivyo akaamua kumtimua.

Amesema hayo mapema leo muda mchache baada ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu tamthilia yake kupatikana kwenye SwahiliFlix.

Full interview tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button