Jinsi familia ya marehemu George Floyd ilivyofurahi baada ya polisi Derek Chauvin kuhukumiwa (+ Video)

Wakati tukio la hukumu la Polisi aliyesababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd ambapo alimkandamiza na goli hadi kupelekea kifo chake ambapo tukio hilo lilikuwa live.

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa Familia ya George Floyd huko Houston ilipokuwa inafuatilia tukio hilo ambapo lilikuwa live na uamuzi wa mahakama ulivyotolewa. jaji akitangaza kwamba Derek Chauvin amekutwa na hatia ya makosa yote katika kifo cha mpendwa wao.

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/tv/CN61d__Bko2/

Related Articles

Back to top button