Bongo5 ExclusivesBurudani
Jionee uwezo wa Maarifa kupitia Beat za Wakongwe (Video)
#oldisgold: Maarifa aendelea kuonyesha uwezo wake mkubwa wa kupita kwenye Beats za Wakongwe.
Leo kaja na MTAZAMO ya @afandesele1976 @solothang_aka_ulamaa na @professorjaytz
Mpe makai zako @maarifabigthinker aendelee kupita kwenyw beats za wakongwe au inatosha?? #tbt za kibabe
https://www.instagram.com/bongofive/reel/C9She12NCzV/?hl=en