Muigizaji na mtayarishaji wa filamu na tamthilia nchini JOHARI ametoa yake ya moyoni kufuatia maamuzi yaliyofanya na msaani mwenzake kwa upande wa muziki SNURA MUSHI kwa kuchukua maamuzi ya kuachana kabisa na mziki na kuendelea na maisha yake.
” Kwa upande wangu hajafanya kitu sahihi, mimi nafikiri angetafuta namna ya kufanya mfano kupunguza baadhi ya mambo lakini sio kuacha mziki”
Kwa taarifa zaidi fuatilia YouTube channel yetu.