Burudani

Joto la Fiesta Sumbawanga: Aachwa na mpenzi kila hana pesa (Video)

“Nikiona jinsi alivyopendeshwa na mpenzi wake mpya naumia sana”

Viguvugu la Tamasha kubwa la Muziki Fiesta likiendelea mkoani Sumbawanga, tumekutana ambaye ameshare nasi jinsi anavyoupenda wimbo wa @rayvanny Vumilia akidai umegusa maisha yake.

Kijana huyo amedai wimbo huo umegusa maisha yake kwa kuwa ameachwa na mpenzi wake ambaye ameishi naye kwa miaka mitatu kisa pesa.

RayVanny ni mmoja kati ya wasanii waliotajwa na @cloudstv kwamba muimbaji huyo ni mmoja kati ya wasanii watakao shiriki katika matamasha hayo.

Weekend hii tamasha hilo litafanyika Sumbawanga.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents